Jinsi ya Kununua

CardealPage ni jukwaa linaloongoza kwa magari yaliyotumika ambapo unaweza kununua kwa urahisi na imani kubwa.

Kwa waingizaji bidhaa wa mara ya kwanza (tafadhali bofya kwa kiungo hiki)

Hatua 1Anza utafutaji wako kutoka JUU ya ukurasa!

Kwa CardealPage, unaweza kutafuta gari lako kupitia makundi mbalimbali kutoka ukurasa wa JUU.
Kwa mfano, unaweza kuchagua kuwa na matokeo ya utafutaji yaliyoorodheshwa kulingana na kampuni, aina ya gari, mwaka, bei, na mengi zaidi!

Hatua 2Chagua bandari lako la kushushia!

Unaweza kuona bei zote zinazojumuisha (CIF) kwenye bandari yako ya kushushia kwa CardealPage,
ambayo inafanya utafutaji na ulinganishaji wa bei ya magari mengi rahisi kama 1 2 3!

Kokotoa Jumla ya Gharama

Nchi Inapelekwa:

Mji Inapelekwa:

Kokotoa
Hatua1 Hatua1 Chagua Nchi
Hatua2 Hatua2 Chagua Mji
Hatua3 Bofya
Unaweza kuona Bei kamili pamoja na gharama za Uchukuzi Baharini !
Chagua kwa kutumia Bei ya Chini kabisa Sasa !
Display 1 - 3 / 3 units No. of Display: Sort By:
Kwa ukurasa huu, CIF = FOB + gharama za Uchukuzi wa mizigo + Hati ya kubadilisha bidhaa + Ukaguzi kabla ya Uchukuzi.
Ikiwa huhitaji bima na Ukaguzi,unaweza kuyaondoa kwa ukurasa wa taarifa ya gari.
Kampuni / Jina la gari Picha FOB
Jumla(CIF)
Mwaka
Month
Umbali kwa maili Saizi ya Injini
/Msimbo
Giaboksi Mafuta
Aina ya gari
Viti Drive
Aina ya gari
Taarifa ya Ziada
TOYOTA CALDINA
(GF-AT211G)
Used TOYOTA CALDINA Ref 07542
US$ 1234
US$ 1200
---
2002
Mar
64,000
(km)
1,800
(cc)
AT PETROL 5 2WD None
Muuzaji :
Ref No.07542
Last Update:Apr/13/2017(JST)

Hatua 3Pata gari linalokufaa!

  • 1

    Unaweza kuong jina la kampuni la kuuza bidhaa nje ya nchi kando ya "Mwuzaji"

  • 2

    Ikiwa gari linahitaji utunzaji au matengenezo mengine, alama "" itaonekana katika sehemu ya maelezo ya ziada.
    Tafadhali fuatilia ili kupata tondot zaidi.
    * Kuna uwezekano wa kupata gari lililofanyiwa ukarabati kwa kutumia zvipuri vya Kijapani. Tafadhali uliza.

Kampuni / Jina la gari Picha FOB
TOTAL(CIF)
Mwaka
Month
Umbali kwa maili Saizi ya Injini
/Msimbo
Giaboksi Mafuta
Aina ya gari
Viti Drive
Aina ya gari
Taarifa ya Ziada
TOYOTA CALDINA
(GF-AT211G)
Used TOYOTA CALDINA Ref 07542
US$ 1234
US$ 1200
---
2002
Mar
64,000
(km)
1,800
(cc)
AT PETROL 5 2WD None
1
Muuzaji :
Ref No.07542
Last Update:Apr/13/2017(JST)
MAZDA BONGO VAN
(ABF-SK82V)
Used MAZDA BONGO VAN Ref 04411
US$ 1,316
US$ 982
---
2010
Mar
236,000
(km)
1,800
(cc)
AT PETROL 3 2WD
2
Angalia taarifa
Muuzaji :
Ref No.04411
Last Update:Apr/05/2017(JST)

Hatua 4Angalia tondoti za gari na bei ya jumla!

  • 1

    Pitia upya picha,vipimo, na hali.

  • 2

    Unaweza kuona idadi ya watu wanaotaka kununua magari haya.
    * Sisi kimsingi huuza bidhaa zetu kwa msingi wa mteja wa kwanza kuja ndiye atahudumiwa kwanza! Harakisha usije ukaudhika!

  • 3

    Angalia bei ya jumla (CIF) kwa bandari lako la kushushia.

Hatua 5Wasiliana na Mwuzaji

Jaza tondoti muhimu na bofya Wasiliana na Mwuzaji.

Enda kwa Kituo cha Kupiga Gumzo na jadiliana na Mwuzaji.Mtakapo kubaliana kuhusu bei, Mwuzaji atakupaa ankara.

Tafadhali bofya kwa "KUBALI", na utaweza kupiga chapa ankara hiyo.

Hatua 6Malipo

Ankara: Tafadhali panga kufanya malipo kupitia tondoti za benki zinazopatikana kwa ankara hiyo.

Kiasi cha CIF/CFR kilichoonyeshwa ni sharti litumwe kielektroniki kwa kupitia Telegraphic Transfer.

Tafadhali tuma thibitisho ya malipo kwa mwuzaji.

Hatua 7Baada ya malipo

Utapokea taarifa kutoka kwa Mwuzaji kwa madhumuni ya kuthibitisha upokezi ya malipo yako.

Tafadhali wasiliana na Mwuzaji kama hujasikia kutoka kwao.

Hatua 8Hakikisha taarifa za consignee,notify na anuani

Tafadhali wasiliana na Mwuzaji wako takriba ya wiki moja baada ya kupokea thibitisho ya malipo.

Ikiwa mwuzaji wako ni CardealPage, unaweza kufuatilia maendeleo kupitia My Account.

Hatua 9Usafirishaji kwa meli

Tafadhali wasiliana na Mwuzaji wako takriban ya wiki moja baada ya kupokea thibitisho ya malipo.

Ikiwa mwuzaji wako ni CardealPage, unaweza kufuatilia maendeleo kupitia My Account.

Hatua 10Kuondoka/Kuwasili

Gari yako inaondoka Japan,na iko karibu kuwasili kwa bandari yako!

Kwa kufuatilia kuondoka kwa meli yako kutoka Japan, utatumiwa anwani iliyotajwa ya tarishi nyaraka zote utakazohitaji kwa ajili ya taratibu za forodha na usajili wa gari lako.

Tafadhali wasiliana na wakala wako wa bandari kwa ajili ya kupanga na kutayarisha mchakato wa kukamilisha taratibu za forodha kabla ya kuwasili kwa gari lako.

Hatua 11Uendeshaji gari kwa mara ya kwanza

Tafadhali kumbuka ya kwamba gari hilo halijasonga kwa muda mrefu kabla ya kusafirishwa kwa meli.

Hii inaweza kusababisha madhara na uharibifu mkubwa ikiwa kwa ghafla utaongeza mwendo wa mzunguko wa injini kwa mwendo wa kasi mno.

Tunakushauri uwache gari lako lipate joto kwa dakika kadhaa kwa kuacha injini katika hali legevu kabla ya kuendesha kwa mara ya kwanza.

Ikiwa mwuzaji wako ni CardealPage, utapata karatasi maalum ya maagizo kwa kioo kilicho mbele ya gari.

Hatua 12Mwitiko

Gari hili limekupendezaje?

Umeridhika na ubora wa gari hilo na huduma na mawasiliano ya Mwuzaji?

Tafadhali tuma picha yako ukiwa kando ya gari lako pamoja na mwitiko wako!

Kwa waagizaji bidhaa ndani ya nchi kwa mara ya kwanza

Jedwali hapa chini linaelezea gharama kuu zinazohusiana na kuagiza gari.

CIF(bei ya jumla iliyoonyeshwa kwa tovuti)
+
Ushuru
Ada zinazohusiana na Taratibu za Forodha,
Ada ya Uchukuzi kutoka bandari ya nchi yako
Gharama ya Usajili katika nchi yako

Unahitaji kutengeneza bajeti ya jumla ya gharama hizi zote.

Tafadhali muulize wakala wako akupe gharama maalum zote zilizokando na bei ya CIF.

CardealPage ina uwezo wa kushughulikia michakato kwa niaba yako sehemu hizi zilizoelezwa kwa muhtasari zilizo na rangi ya bluu; Ada ya kukamilisha taratibu za forodha, na Ada ya Uchukuzi kwa nchi yako.

Tafadhali uliza kwa maelezo zaidi.