Kampuni ya uuzaji magari ya Japani CardealPage - Home > CardealPage ni nini?
CardealPage ina sifa 5 ambazo zinaifanya kung'ara.
Shukrani kwa idadi kubwa ya bidhaa vinavyopatikana, unaweza kuchagua kupitia mapendekezo yako binafsi, kama rangi, mwaka, umbali kwa maili, bei, hali, na mengi zaidi!
Watu wengi hutembelea kwa wastani kati ya tovuti mbili hadi tano ili kulinganisha.
CardealPage inakunusuru haja ya kulinganisha, kwani wengi wa waagizaji wakuu wa magari wanaweza tayari kupatikana kwenye tovuti hii.
Mchakato wa kulinganisha umekuwa rahisi sana!
Magari yote yaliyoorodheshwa yanaonyeshwa na bei yao yote ya pamoja (CIF).
Kila kampuni inayouza bidhaa nje ya nchi inaweza kuwa na bei zao za bima na uchukuzi wa mizigo, lakini hii haina maana, kwani magari yote yanaweza kuonekana na bei zao za CIF.
Tunapanga pia kuongeza zaidi chaguzi za "tafuta kwa", kama hali (ya magari), pamoja na rangi, mwaka, umbali kwa maili, nk.
CardealPage inaorodhesha na kuuza kwa niaba ya wafanyabiashara wa gari nchini Japan.
Magari mengi yamewekewa alama asili ya uuzaji katika soko la ndani, hivyo basi huwezi kujua ni nini unaweza kupata hasa magari yanayouzwa kwa bei nafuu!
Magari yote yanayopatikana kwa CardealPage ni halisi na ya kweli.
Ni magari ambayo yanahifadhiwa na kupatikana katika hifadhi zilizoko kwa majengo ya Mwuzaji, hivyo basi unaweza kununua ukiwa na uaminifu kamili na imani.
Kampuni inayoorodhesha gari "" (CardealPage au Makampuni mengine yayanayouza Magari nje ya Japan) itashughulikia mchakato wote wa biashara hiyo.
Kwa mfano, watajibu maswali yako kuhusu mchakato wa malipo, usafirishaji na nyaraka za magari yao.
Tafadhali panga kulipa moja kwa moja kwa "kampuni inayoorodhesha gari" (CardealPage au Makampuni yanayouza Magari nje ya Japan).
Maelezo ya michakato na mawasiliano:
CardealPage inatumia Mfumo wa Kulinganisha Bei kwa magari yote ambayo tunauza kwa niaba ya wafanyabiashara wa mtaa wa magari.
Mfumo wa Kulinganisha Bei ni mfumo ambao huteremsha bei kwa utaratibu kila siku.
Magari mengi hupunguzwa bei kila siku, kwa hiyo tafadhali tembelea tovuti yetu kila siku ili upate mauzo mapya na ya bei nafuu.
Ukihisi bei ni nafuu,tafadhali lipia gari hilo mara moja.
Magari yote yanayouzwa na CardealPage (kwa niaba ya wafanyabiashara wa mtaa) huthibitishwa kwa mteja ambaye malipo yake yamepokewa kwanza, yaani kwa msingi wa mteja wa kwanza ndiye anahudumiwa kwanza.
Unahatar ya kupoteza gari lako kwa mnunuzi mwingine kama utangojea kwa muda mrefu bei ziteremke.
* Bei nafuu zilizoko hapo juu ni mifano tu.
Unaweza kuona ni watu wangapi wanataka kununua kila gari kwa kuangalia ingizo la "Nataka Kununua".
Namba hiyo inaonyesha ni wateja wangapi wametoa oda za ankara kwa gari hilo.
Tafadhali fanya mpango wa kulipa baada ya kuamua ununuzi wako ili kuepuka masikitiko.
Jina la Kampuni | CardealPage Co., Ltd | ||||||||||||
Makau Makuu | 4F Masumoto Bldg., 7-4-3, Nishishinjuku, Shinjuku-ku, Tokyo 160-0023, Japan Tel:+81-3-5937-4554 TEL : +81-3-5937-4554 / FAX : +81-3-5937-4552 MAIL : sales@cardealpage.com |
||||||||||||
Shirika | July 2014 | ||||||||||||
CEO | Jun Matsuoka | ||||||||||||
Tovuti ya Kampuni | https://www.cardealpage.co.jp/ | ||||||||||||
Tondoti za Benki |
|
||||||||||||
Tume ya Usalama wa Umma Tokyo. Reg No | 304361407966 |